Sheria, Muongozo na Taratibu za kumtongoza msichana facebook...

"Facebook ni sehemu nzuri ya kukutana na wasichana, ila ikitumika vibaya ni moja kati ya sehemu mbaya inayopunguza nafasi ya kuwa na msichana yoyote yule", Kuna sheria ndogo ndogo na taratibu ambazo zinabidi zifuatwe ili kukuongezea wigo wa uhakika wa kumpata msichana facebook, na iwapo ukizingatia vizuri na ukaweka umakini utashangazwa na mabadiliko utakayotokewa na kuyaona...

"Facebook ni sehemu nzuri ya kukutana na wasichana, ila ikitumika vibaya ni moja kati ya sehemu mbaya inayopunguza nafasi ya kuwa na msichana yoyote yule".
 Kuna sheria ndogo ndogo na taratibu ambazo kiumeni.com itakupa zinabidi zifuatwe ili kukuongezea wigo wa uhakika wa kumpata msichana facebook, na iwapo ukizingatia vizuri na ukaweka umakini utashangazwa na mabadiliko utakayotokewa na kuyaona...
  • Usimtumie mwaliko wa urafiki mapema mno...
Wapo wanaume wengi wanaomtumia mialiko mingi ya kumuomba urafiki, kwa hio hakikisha usiwe mmoja wao, jaribu kutumia njia mbadala kama kukomenti kwenye komenti za marafiki zake anazo zikomenti na yeye, na hakikisha unakomenti kwa utata ili akujibu na tafuta rafiki yake ambae pia ni rafiki yako ili aweze kuwatambulisha, na kama kuna uwezekano wa kukutana nae nje ya facebook ni vizuri ukafanya hivyo kabla ya kutuma mwaliko wa urafiki ili mpate kujuana kwanza, hii itaongeza wigo zaidi na uhakika wa kuwa karibu.
  • Usimtumie Poke...
Kumpoke mtu ambae hakufahamu vizuri mara nyingi huwa haviendani, kwanza huyo msichana atakuona wa ajabu sana mpaka unashindwa kusema "Mambo?" au sana sana anaweza akakupuuzia tu, na tofauti na hapo poke inauwa chachu ya kuanzisha mazungumzo.
  • Usijishushe na kuonekana mpumbavu...
Kama hakujibu meseji na chati zako ulizotuma kabla au komenti ulizoziacha kwenye kuta za kurasa yake ya facebook, ni vizuri ukamwacha kwanza mpaka akujibu mwenyewe.
  • Fikiria kama vile kila mtu anaemjua yumo facebook...
Hapa tunamaanisha kila mtu, bibi yake, bosi wake, mwalimu wake, mama yake, hii inamaanisha usiandike kwenye kuta wa kurasa yake mambo ambayo hayaendani au usimwoganishe jina lake kwenye picha ambayo haina muonekano mzuri, iwapo ukimdhalilisha mbele ya jamii yake sidhani kama utakua na nafasi tena kumpata.
  • Kuwa mwenye uhalisia...
Sio kwa sababu ulishamchunguza kwenye kurasa yake na kugundua anachopendelea na wewe ukajifanya una hobi hizo hizo na kuwa wa kwanza kuvisema kwake, ukifanya hivyo utaharibu, ni vizuri ukamuuliza au mwache mwenyewe mpaka atakapokuambia kwa maneno yake.
  • Toa uhusiano kwenye mtandao...
Baada ya muda ni vizuri utoe uhusiano kwenye mtandao na uende nje ya facebook na kukutana ana kwa ana, iwapo ukitumia muda mwingi wa mawasiliano kwa njia ya mtandao, itakua ngumu kuuleta uhusiano katika hali ya kawaida ya kidunia.

COMMENTS

Jobstanzania
Name

Fasheni,3,Jua Zaidi,10,Mahusiano,19,Mazoezi,4,Mchezaji wa Mapenzi,22,Picha Maneno,14,Slider,6,Top Stories,12,WaulizeWanaume,3,
ltr
item
Kiumeni - WaulizeWanaume.: Sheria, Muongozo na Taratibu za kumtongoza msichana facebook...
Sheria, Muongozo na Taratibu za kumtongoza msichana facebook...
"Facebook ni sehemu nzuri ya kukutana na wasichana, ila ikitumika vibaya ni moja kati ya sehemu mbaya inayopunguza nafasi ya kuwa na msichana yoyote yule", Kuna sheria ndogo ndogo na taratibu ambazo zinabidi zifuatwe ili kukuongezea wigo wa uhakika wa kumpata msichana facebook, na iwapo ukizingatia vizuri na ukaweka umakini utashangazwa na mabadiliko utakayotokewa na kuyaona...
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEisOJ3VQpntujoDvNcxp7iS69sLP_lfqQwzoGbX4i-uTXzagtj_6_QlaUPgPJJVwu1BHMX4_kIP1SJRzrSzghLIHutxPtuSCJh_r025GXhV28F3vWsAAtA213EZn0ITBwyGVr7GkmP2Ccg/s1600/url.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEisOJ3VQpntujoDvNcxp7iS69sLP_lfqQwzoGbX4i-uTXzagtj_6_QlaUPgPJJVwu1BHMX4_kIP1SJRzrSzghLIHutxPtuSCJh_r025GXhV28F3vWsAAtA213EZn0ITBwyGVr7GkmP2Ccg/s72-c/url.jpg
Kiumeni - WaulizeWanaume.
https://waulizewanaume.blogspot.com/2014/03/sheria-muongozo-na-taratibu-za.html
https://waulizewanaume.blogspot.com/
http://waulizewanaume.blogspot.com/
http://waulizewanaume.blogspot.com/2014/03/sheria-muongozo-na-taratibu-za.html
true
5715942833127633596
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy