Mmeachana, Umeachwa ila moyoni bado unahisi unampenda, fanya haya umrudishe na kutengeneza nafasi ya kuwa naye tena.

Hivi karibuni msichana wako ameamua kuachana na wewe au labada wewe ndie uliyeamua kumuacha naye ila baada ya maamuzi hayo kupita na kufa...

Hivi karibuni msichana wako ameamua kuachana na wewe au labada wewe ndie uliyeamua kumuacha naye ila baada ya maamuzi hayo kupita na kufanyika, moyoni unahisi upendo wako juu yake bado umeutawala moyo wako na bado anaumiliki tena kwa sehemu kubwa sana na hauko tayari kumwachia aende kwa kuwa umeshaona wazi ya kuwa maamuzi uliyoyafanya au yaliofanyika yana makosa makubwa.

Waulize wanaume imekuandalia njia itakayokusaidia kurudisha muda nyuma na kuwa naye tena, kukurudishia yule mmoja umpendae ambaye juu yake ndio moyo wako unapokamilika, njia hii itategemeana sana na hali ya mwenza wako mlieachana na jinsi anavyojisikia juu yako kwa kile ulichotenda au kumtendea.

#; Yatambue makosa.

Unaweza fikiria unachofikiria kichwani mwako ila lazima huyo msichana atataka kujua ni nini kilichosababisha wewe kubadilika, wanawake wa karne ya digitali huitaji majibu ya sababu sababishi ya kile kilichokusababisha ubadilike kiasi cha huo uwamuzi kufanyika, uwe umesababisha wewe au yeye majibu yanatakiwa, na mwelezee kwa umakini utafanya nini ili kuibadilisha hio hali na kumpa mikakati thabidi na kumuonyesha nia ya kuyatatua hayo matatizo.


#; Omba msamaha na onyesha hisia ya kuwa unamaanisha.

Wanaume wengine hujiona ngangali na kuona hali ya kuomba msamaha ni kujishusha, na inawezekana kabisa alishawahi kukutana hio hali kwenye uhusiano uliopita, muonyeshe una nia ya kubadilika badala ya kujielezea na kuomba msamaha, muonyeshe nia yako kwa matendo, kama ulikuwa unachelewa kupokea simu zake badilika wewe ndo uwe wa kwanza kumtafuta.


#; Mpe muda.

Mpe muda wa kufanya maamuzi yake, maamuzi makubwa kama hayo huwa yanachukua muda kuamuliwa, usiwe na haraka ya kutegemea majibu hapo hapo, kama kweli unamuhitaji mpe muda wa kufanya maamuzi yake mwenyewe iwapo anataka kuwa na wewe au la, inaweza kumchukua sikua au hata wiki mpaka aweze kukuamini tena na kukukabidhi moyo wake, kuwa mvumilivu na usikurupuke na kulazimisha mambo kwani itakuweka mahali pabaya zaidi ya ulipokuwa.

COMMENTS

Jobstanzania
Name

Fasheni,3,Jua Zaidi,10,Mahusiano,19,Mazoezi,4,Mchezaji wa Mapenzi,22,Picha Maneno,14,Slider,6,Top Stories,12,WaulizeWanaume,3,
ltr
item
Kiumeni - WaulizeWanaume.: Mmeachana, Umeachwa ila moyoni bado unahisi unampenda, fanya haya umrudishe na kutengeneza nafasi ya kuwa naye tena.
Mmeachana, Umeachwa ila moyoni bado unahisi unampenda, fanya haya umrudishe na kutengeneza nafasi ya kuwa naye tena.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjR6t0cZ88kuDwzcXdxBdjNIloU9P-AyVF19HO6GzAdlUMoqyrqgT2PRBdLO1qBqYSBgh0D4zAd-9EtpJTCx2eQXpGbGLzI2md7bPhPa8i2GjztcvkblCYVYtun2gpTSMkcR2zNb_qFIjwN/s1600/waulizewanaume.com.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjR6t0cZ88kuDwzcXdxBdjNIloU9P-AyVF19HO6GzAdlUMoqyrqgT2PRBdLO1qBqYSBgh0D4zAd-9EtpJTCx2eQXpGbGLzI2md7bPhPa8i2GjztcvkblCYVYtun2gpTSMkcR2zNb_qFIjwN/s72-c/waulizewanaume.com.jpg
Kiumeni - WaulizeWanaume.
https://waulizewanaume.blogspot.com/2014/06/mmeachana-umeachwa-ila-moyoni-bado.html
https://waulizewanaume.blogspot.com/
http://waulizewanaume.blogspot.com/
http://waulizewanaume.blogspot.com/2014/06/mmeachana-umeachwa-ila-moyoni-bado.html
true
5715942833127633596
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy